Oggi, in occasione della giornata mondiale della lingua Swahili, l’Ambasciata d’Italia in Tanzania ribadisce il suo impegno nella promozione della lingua swahili nel contesto delle eccellenti relazioni italo-tanzane.
Siamo felici di annunciare che abbiamo introdotto lo Swahili su tutte le nostre piattaforme online per arricchire le nostre relazioni bilaterali anche attraverso la bellezza e la popolarità di questa lingua.
Approfittiamo di questa opportunità per ricordare alcune recenti iniziative, due delle quali della Signora Michelangela Adamo, che ha lavorato presso l’Ambasciata d’Italia per molti anni.
“Tumia Akili” è un coinvolgente gioco educativo progettato per arricchire l’apprendimento dello Swahili tra i giovani. “Hadithi kwa Njia ya Simu” è la traduzione di 30 fiabe di Gianni Rodari in Swahili.
Almawave, un’importante azienda italiana nel campo dell’intelligenza artificiale, ha sviluppato nel corso degli anni una vasta esperienza nella traduzione e trascrizione dei procedimenti giudiziari in Tanzania anche in Kiswahili. Recentemente, l’azienda ha lanciato Velvet, un Large Language Model (LLM) open-source, mirato a migliorare la comprensione e la generazione del linguaggio naturale anche per coloro che parlano swahili, al fine di ridurre le barriere linguistiche e offrire al pubblico uno strumento di alta qualità in swahili.
Leo, ni Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani. Ubalozi wa Italia unafuraha kubwa kutangaza dhamira yake ya kukuza lugha na utamaduni wa Kiswahili kudimisha mahusiano bora ya nchi za Italia na Tanzania.
Tunayo furaha kuwajulisha kwamba kuanzia sasa, tunaongeza machapisho kwa kutumia lugha ya Kiswahili katika majukwaa yetu yote ya jamii ili kuimarisha zaidi uhusiano wetu baina ya nchi hizi mbili, na kutangaza uzuri na umaarufu wa lugha hii ya kipekee.
Pia, katika hili, tunachukua fursa hii kuwakumbusha hapo awali, juhudi za Bi. Michelangela Adamo, Mfanyakazi Mstaafu alie fanya kazi Ubalozi wa Italia kwa miaka mingi. “Tumia Akili” mchezo unaovutia wa elimu, ulioundwa ili kuboresha ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kwa vijana. Pamoja na, “Hadithi kwa njia ya simu” tafsiri ya hadithi 30 za Gianni Rodari kwa lugha ya Kiswahili.
Almawave, kampuni ya Ki Italiano inayo ongoza katika nyanja ya akili bandia, imeonyesha utaalam mkubwa kwa miaka mingi katika kutafsiri na kuhakiki taratibu za mahakama nchini Tanzania kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Ustadi wa kampuni hii katika teknolojia ya sauti umekuwa muhimu katika kuongeza ufanisi na uenezaji wa mifumo ya mahakama za Tanzania, na kuhakikisha huduma sahihi na za haraka za unukuzi na tafsiri. Hivi karibuni, kampuni imezindua Velvet, mfano wa lugha kubwa wa chanzo wazi (LLM). Mradi huu bunifu unawakilisha hatua muhimu mbele katika teknolojia ya modeli ya lugha. Mpango huo unalenga kuongeza uelewa na uzalishaji wa lugha asilia kwa wazungumzaji wa Kiswahili ili kupunguza vizuizi vya lugha na kutoa usaidizi wa hali ya juu wa lugha ya Kiswahili, kukuza ushirikishwaji na uwezeshaji wa kidijitali.