Ubalozi wa Italia tunampongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Watanzania wote kwa kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
@DrHmwinyi @ikuluzanzibar @ikulumawasliano
The Embassy of Italy congratulates the President of Zanzibar and the Chairman of Revolutionary Council H.E. Dr Hussein Ali Mwinyi and all Tanzanians in commemorating 59 Years of Zanzibar Revolution.
@DrHmwinyi @ikuluzanzibar @ikulumawasliano